django1/django/contrib/admin/locale/sw/LC_MESSAGES/django.po

676 lines
16 KiB
Plaintext

# This file is distributed under the same license as the Django package.
#
# Translators:
# Emil <bmachaku@gmail.com>, 2013-2014
msgid ""
msgstr ""
"Project-Id-Version: django\n"
"Report-Msgid-Bugs-To: \n"
"POT-Creation-Date: 2015-11-15 11:06+0100\n"
"PO-Revision-Date: 2015-11-16 08:16+0000\n"
"Last-Translator: Jannis Leidel <jannis@leidel.info>\n"
"Language-Team: Swahili (http://www.transifex.com/django/django/language/"
"sw/)\n"
"MIME-Version: 1.0\n"
"Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n"
"Content-Transfer-Encoding: 8bit\n"
"Language: sw\n"
"Plural-Forms: nplurals=2; plural=(n != 1);\n"
#, python-format
msgid "Successfully deleted %(count)d %(items)s."
msgstr "Umefanikiwa kufuta %(items)s %(count)d."
#, python-format
msgid "Cannot delete %(name)s"
msgstr "Huwezi kufuta %(name)s"
msgid "Are you sure?"
msgstr "Una uhakika?"
#, python-format
msgid "Delete selected %(verbose_name_plural)s"
msgstr "Futa %(verbose_name_plural)s teule"
msgid "Administration"
msgstr "Utawala"
msgid "All"
msgstr "yote"
msgid "Yes"
msgstr "Ndiyo"
msgid "No"
msgstr "Hapana"
msgid "Unknown"
msgstr "Haijulikani"
msgid "Any date"
msgstr "Tarehe yoyote"
msgid "Today"
msgstr "Leo"
msgid "Past 7 days"
msgstr "Siku 7 zilizopita"
msgid "This month"
msgstr "mwezi huu"
msgid "This year"
msgstr "Mwaka huu"
#, python-format
msgid ""
"Please enter the correct %(username)s and password for a staff account. Note "
"that both fields may be case-sensitive."
msgstr ""
"Tafadhali ingiza %(username)s na nywila sahihi kwa akaunti ya msimamizi. "
"Kumbuka kuzingatia herufi kubwa na ndogo."
msgid "Action:"
msgstr "Tendo"
msgid "action time"
msgstr "muda wa tendo"
msgid "user"
msgstr ""
msgid "content type"
msgstr ""
msgid "object id"
msgstr "Kitambulisho cha kitu"
msgid "object repr"
msgstr "`repr` ya kitu"
msgid "action flag"
msgstr "bendera ya tendo"
msgid "change message"
msgstr "badilisha ujumbe"
msgid "log entry"
msgstr "ingizo kwenye kumbukumbu"
msgid "log entries"
msgstr "maingizo kwenye kumbukumbu"
#, python-format
msgid "Added \"%(object)s\"."
msgstr "Kuongezwa kwa \"%(object)s\"."
#, python-format
msgid "Changed \"%(object)s\" - %(changes)s"
msgstr "Kubadilishwa kwa \"%(object)s\" - %(changes)s"
#, python-format
msgid "Deleted \"%(object)s.\""
msgstr "Kufutwa kwa \"%(object)s\"."
msgid "LogEntry Object"
msgstr "Kitu cha Ingizo la Kumbukumbu"
msgid "None"
msgstr "Hakuna"
msgid ""
"Hold down \"Control\", or \"Command\" on a Mac, to select more than one."
msgstr ""
msgid "Added."
msgstr ""
#, python-format
msgid "Changed %s."
msgstr "Mabadiliko ya %s."
msgid "and"
msgstr "na"
#, python-format
msgid "Added %(name)s \"%(object)s\"."
msgstr "Ingizo la %(name)s \"%(object)s\" limefanyika "
#, python-format
msgid "Changed %(list)s for %(name)s \"%(object)s\"."
msgstr "Mabadiliko %(list)s yamefanyoka kwa %(object)s \"%(name)s\"."
#, python-format
msgid "Deleted %(name)s \"%(object)s\"."
msgstr "Kumefutwa kwa %(name)s \"%(object)s\" kumefanyika."
msgid "No fields changed."
msgstr "Hakuna uga uliobadilishwa."
#, python-format
msgid ""
"The %(name)s \"%(obj)s\" was added successfully. You may edit it again below."
msgstr ""
"Ingizo la \"%(obj)s\" %(name)s limefanyika kwa mafanikio. Unaweza "
"kuhariritena hapo chini."
#, python-format
msgid ""
"The %(name)s \"%(obj)s\" was added successfully. You may add another "
"%(name)s below."
msgstr ""
"Ingizo la \"%(obj)s\" %(name)s limefanyika kwa mafanikio. Unaweza tena "
"kuongeza %(name)s hapo chini."
#, python-format
msgid "The %(name)s \"%(obj)s\" was added successfully."
msgstr "Ingizo la \"%(obj)s\" %(name)s limefanyika kwa mafanikio."
#, python-format
msgid ""
"The %(name)s \"%(obj)s\" was changed successfully. You may edit it again "
"below."
msgstr ""
"Ingizo la \"%(obj)s\" %(name)s limebadilishwa kwa mafanikio. Unaweza tena "
"kulihariri hapo chini."
#, python-format
msgid ""
"The %(name)s \"%(obj)s\" was changed successfully. You may add another "
"%(name)s below."
msgstr ""
"Ingizo la \"%(obj)s\" %(name)s limebadilishwa kwa mafanikio. Unaweza "
"kuongeza %(name)s hapo chini."
#, python-format
msgid "The %(name)s \"%(obj)s\" was changed successfully."
msgstr "Mabadiliko ya \"%(obj)s\" %(name)s yamefanikiwa."
msgid ""
"Items must be selected in order to perform actions on them. No items have "
"been changed."
msgstr ""
"Nilazima kuchagua vitu ili kufanyia kitu fulani. Hakuna kitu "
"kilichochaguliwa."
msgid "No action selected."
msgstr "Hakuna tendo lililochaguliwa"
#, python-format
msgid "The %(name)s \"%(obj)s\" was deleted successfully."
msgstr "Ufutaji wa \"%(obj)s\" %(name)s umefanikiwa."
#, python-format
msgid "%(name)s object with primary key %(key)r does not exist."
msgstr "Hakuna %(name)s yenye `primary key` %(key)r."
#, python-format
msgid "Add %s"
msgstr "Ongeza %s"
#, python-format
msgid "Change %s"
msgstr "Badilisha %s"
msgid "Database error"
msgstr "Hitilafu katika hifadhidata"
#, python-format
msgid "%(count)s %(name)s was changed successfully."
msgid_plural "%(count)s %(name)s were changed successfully."
msgstr[0] "mabadiliko ya %(name)s %(count)s yamefanikiwa."
msgstr[1] "mabadiliko ya %(name)s %(count)s yamefanikiwa."
#, python-format
msgid "%(total_count)s selected"
msgid_plural "All %(total_count)s selected"
msgstr[0] "%(total_count)s kuchaguliwa"
msgstr[1] "%(total_count)s (kila kitu) kuchaguliwa"
#, python-format
msgid "0 of %(cnt)s selected"
msgstr "Vilivyo chaguliwa ni 0 kati ya %(cnt)s"
#, python-format
msgid "Change history: %s"
msgstr "Badilisha historia: %s"
#. Translators: Model verbose name and instance representation,
#. suitable to be an item in a list.
#, python-format
msgid "%(class_name)s %(instance)s"
msgstr "%(instance)s %(class_name)s"
#, python-format
msgid ""
"Deleting %(class_name)s %(instance)s would require deleting the following "
"protected related objects: %(related_objects)s"
msgstr ""
"Kufutwa kwa ingizo la %(instance)s %(class_name)s kutahitaji kufutwa kwa "
"vitu vifuatavyo vyenye mahusiano vilivyokingwa: %(related_objects)s"
msgid "Django site admin"
msgstr "Utawala wa tovuti ya django"
msgid "Django administration"
msgstr "Utawala wa Django"
msgid "Site administration"
msgstr "Utawala wa tovuti"
msgid "Log in"
msgstr "Ingia"
#, python-format
msgid "%(app)s administration"
msgstr "Utawala wa %(app)s"
msgid "Page not found"
msgstr "Ukurasa haujapatikana"
msgid "We're sorry, but the requested page could not be found."
msgstr "Samahani, ukurasa uliohitajika haukupatikana."
msgid "Home"
msgstr "Sebule"
msgid "Server error"
msgstr "Hitilafu ya seva"
msgid "Server error (500)"
msgstr "Hitilafu ya seva (500)"
msgid "Server Error <em>(500)</em>"
msgstr "Hitilafu ya seva <em>(500)</em>"
msgid ""
"There's been an error. It's been reported to the site administrators via "
"email and should be fixed shortly. Thanks for your patience."
msgstr ""
"Kumekuwa na hitilafu. Imeripotiwa kwa watawala kupitia barua pepe na "
"inatakiwa kurekebishwa mapema."
msgid "Run the selected action"
msgstr "Fanya tendo lililochaguliwa."
msgid "Go"
msgstr "Nenda"
msgid "Click here to select the objects across all pages"
msgstr "Bofya hapa kuchagua viumbile katika kurasa zote"
#, python-format
msgid "Select all %(total_count)s %(module_name)s"
msgstr "Chagua kila %(module_name)s, (%(total_count)s). "
msgid "Clear selection"
msgstr "Safisha chaguo"
msgid ""
"First, enter a username and password. Then, you'll be able to edit more user "
"options."
msgstr ""
"Kwanza, ingiza jina lamtumiaji na nywila. Kisha, utaweza kuhariri zaidi "
"machaguo ya mtumiaji."
msgid "Enter a username and password."
msgstr "Ingiza jina la mtumiaji na nywila."
msgid "Change password"
msgstr "Badilisha nywila"
msgid "Please correct the error below."
msgstr "Tafadhali sahihisha makosa yafuatayo "
msgid "Please correct the errors below."
msgstr "Tafadhali sahihisha makosa yafuatayo."
#, python-format
msgid "Enter a new password for the user <strong>%(username)s</strong>."
msgstr "ingiza nywila ya mtumiaji <strong>%(username)s</strong>."
msgid "Welcome,"
msgstr "Karibu"
msgid "View site"
msgstr ""
msgid "Documentation"
msgstr "Nyaraka"
msgid "Log out"
msgstr "Toka"
msgid "Add"
msgstr "Ongeza"
msgid "History"
msgstr "Historia"
msgid "View on site"
msgstr "Ona kwenye tovuti"
#, python-format
msgid "Add %(name)s"
msgstr "Ongeza %(name)s"
msgid "Filter"
msgstr "Chuja"
msgid "Remove from sorting"
msgstr "Ondoa katika upangaji"
#, python-format
msgid "Sorting priority: %(priority_number)s"
msgstr "Kipaumbele katika mpangilio: %(priority_number)s"
msgid "Toggle sorting"
msgstr "Geuza mpangilio"
msgid "Delete"
msgstr "Futa"
#, python-format
msgid ""
"Deleting the %(object_name)s '%(escaped_object)s' would result in deleting "
"related objects, but your account doesn't have permission to delete the "
"following types of objects:"
msgstr ""
"Kufutwa kwa '%(escaped_object)s' %(object_name)s kutasababisha kufutwa kwa "
"vitu vinavyohuisana, lakini akaunti yako haina ruhusa ya kufuta vitu vya "
"aina zifuatazo:"
#, python-format
msgid ""
"Deleting the %(object_name)s '%(escaped_object)s' would require deleting the "
"following protected related objects:"
msgstr ""
"Kufuta '%(escaped_object)s' %(object_name)s kutahitaji kufuta vitu "
"vifuatavyo ambavyo vinavyohuisana na vimelindwa:"
#, python-format
msgid ""
"Are you sure you want to delete the %(object_name)s \"%(escaped_object)s\"? "
"All of the following related items will be deleted:"
msgstr ""
"Una uhakika kuwa unataka kufuta \"%(escaped_object)s\" %(object_name)s ? "
"Vitu vyote vinavyohuisana kati ya vifuatavyo vitafutwa:"
msgid "Objects"
msgstr ""
msgid "Yes, I'm sure"
msgstr "Ndiyo, Nina uhakika"
msgid "No, take me back"
msgstr ""
msgid "Delete multiple objects"
msgstr "Futa viumbile mbalimbali"
#, python-format
msgid ""
"Deleting the selected %(objects_name)s would result in deleting related "
"objects, but your account doesn't have permission to delete the following "
"types of objects:"
msgstr ""
"Kufutwa kwa %(objects_name)s chaguliwa kutasababisha kufutwa kwa "
"vituvinavyohusiana, lakini akaunti yako haina ruhusa ya kufuta vitu vya "
"vifuatavyo:"
#, python-format
msgid ""
"Deleting the selected %(objects_name)s would require deleting the following "
"protected related objects:"
msgstr ""
"Kufutwa kwa %(objects_name)s kutahitaji kufutwa kwa vitu vifuatavyo vyenye "
"uhusiano na vilivyolindwa:"
#, python-format
msgid ""
"Are you sure you want to delete the selected %(objects_name)s? All of the "
"following objects and their related items will be deleted:"
msgstr ""
"Una uhakika kuwa unataka kufuta %(objects_name)s chaguliwa ? Vitu vyote kati "
"ya vifuatavyo vinavyohusiana vitafutwa:"
msgid "Change"
msgstr "Badilisha"
msgid "Remove"
msgstr "Ondoa"
#, python-format
msgid "Add another %(verbose_name)s"
msgstr "Ongeza %(verbose_name)s"
msgid "Delete?"
msgstr "Futa?"
#, python-format
msgid " By %(filter_title)s "
msgstr " Kwa %(filter_title)s"
msgid "Summary"
msgstr ""
#, python-format
msgid "Models in the %(name)s application"
msgstr "Models katika application %(name)s"
msgid "You don't have permission to edit anything."
msgstr "Huna ruhusa ya kuhariri chochote"
msgid "Recent Actions"
msgstr "Matendo ya hivi karibuni"
msgid "My Actions"
msgstr "Matendo yangu"
msgid "None available"
msgstr "Hakuna kilichopatikana"
msgid "Unknown content"
msgstr "Maudhui hayajulikani"
msgid ""
"Something's wrong with your database installation. Make sure the appropriate "
"database tables have been created, and make sure the database is readable by "
"the appropriate user."
msgstr ""
"Kuna tatizo limetokea katika usanikishaji wako wa hifadhidata. Hakikisha "
"kuwa majedwali sahihi ya hifadhidata yameundwa, na hakikisha hifadhidata "
"inaweza kusomwana mtumiaji sahihi."
#, python-format
msgid ""
"You are authenticated as %(username)s, but are not authorized to access this "
"page. Would you like to login to a different account?"
msgstr ""
msgid "Forgotten your password or username?"
msgstr "Umesahau jina na nenosiri lako?"
msgid "Date/time"
msgstr "Tarehe/saa"
msgid "User"
msgstr "Mtumiaji"
msgid "Action"
msgstr "Tendo"
msgid ""
"This object doesn't have a change history. It probably wasn't added via this "
"admin site."
msgstr ""
"Kiumbile hiki hakina historia ya kubadilika. Inawezekana hakikuwekwa kupitia "
"hii tovuti ya utawala."
msgid "Show all"
msgstr "Onesha yotee"
msgid "Save"
msgstr "Hifadhi"
msgid "Popup closing..."
msgstr ""
#, python-format
msgid "Change selected %(model)s"
msgstr ""
#, python-format
msgid "Add another %(model)s"
msgstr ""
#, python-format
msgid "Delete selected %(model)s"
msgstr ""
msgid "Search"
msgstr "Tafuta"
#, python-format
msgid "%(counter)s result"
msgid_plural "%(counter)s results"
msgstr[0] "tokeo %(counter)s"
msgstr[1] "matokeo %(counter)s"
#, python-format
msgid "%(full_result_count)s total"
msgstr "jumla %(full_result_count)s"
msgid "Save as new"
msgstr "Hifadhi kama mpya"
msgid "Save and add another"
msgstr "Hifadhi na ongeza"
msgid "Save and continue editing"
msgstr "Hifadhi na endelea kuhariri"
msgid "Thanks for spending some quality time with the Web site today."
msgstr "Ahsante kwa kutumia muda wako katika Tovuti yetu leo. "
msgid "Log in again"
msgstr "ingia tena"
msgid "Password change"
msgstr "Badilisha nywila"
msgid "Your password was changed."
msgstr "Nywila yako imebadilishwa"
msgid ""
"Please enter your old password, for security's sake, and then enter your new "
"password twice so we can verify you typed it in correctly."
msgstr ""
"Tafadhali ingiza nywila yako ya zamani, kwa ajili ya usalama, kisha ingiza "
"nywila mpya mara mbili ili tuweze kuthibitisha kuwa umelichapisha kwa "
"usahihi."
msgid "Change my password"
msgstr "Badilisha nywila yangu"
msgid "Password reset"
msgstr "Kuseti nywila upya"
msgid "Your password has been set. You may go ahead and log in now."
msgstr "Nywila yako imesetiwa. Unaweza kuendelea na kuingia sasa."
msgid "Password reset confirmation"
msgstr "Uthibitisho wa kuseti nywila upya"
msgid ""
"Please enter your new password twice so we can verify you typed it in "
"correctly."
msgstr ""
"Tafadhali ingiza nywila mpya mara mbili ili tuweze kuthibitisha kuwa "
"umelichapisha kwa usahihi."
msgid "New password:"
msgstr "Nywila mpya:"
msgid "Confirm password:"
msgstr "Thibitisha nywila"
msgid ""
"The password reset link was invalid, possibly because it has already been "
"used. Please request a new password reset."
msgstr ""
"Kiungo cha kuseti nywila upya ni batili, inawezekana ni kwa sababu kiungo "
"hicho tayari kimetumika. tafadhali omba upya kuseti nywila."
msgid ""
"We've emailed you instructions for setting your password, if an account "
"exists with the email you entered. You should receive them shortly."
msgstr ""
msgid ""
"If you don't receive an email, please make sure you've entered the address "
"you registered with, and check your spam folder."
msgstr ""
"Ikiwa hujapata barua pepe, tafadhali hakikisha umeingiza anuani ya barua "
"pepe uliyoitumia kujisajili na angalia katika folda la spam"
#, python-format
msgid ""
"You're receiving this email because you requested a password reset for your "
"user account at %(site_name)s."
msgstr ""
"Umepata barua pepe hii kwa sababu ulihitaji ku seti upya nywila ya akaunti "
"yako ya %(site_name)s."
msgid "Please go to the following page and choose a new password:"
msgstr "Tafadhali nenda ukurasa ufuatao na uchague nywila mpya:"
msgid "Your username, in case you've forgotten:"
msgstr "Jina lako la mtumiaji, ikiwa umesahau:"
msgid "Thanks for using our site!"
msgstr "Ahsante kwa kutumia tovui yetu!"
#, python-format
msgid "The %(site_name)s team"
msgstr "timu ya %(site_name)s"
msgid ""
"Forgotten your password? Enter your email address below, and we'll email "
"instructions for setting a new one."
msgstr ""
"Umesahau nywila yako? Ingiza anuani yako ya barua pepe hapo chini, nasi "
"tutakutumia maelekezo ya kuseti nenosiri jipya. "
msgid "Email address:"
msgstr "Anuani ya barua pepe:"
msgid "Reset my password"
msgstr "Seti nywila yangu upya"
msgid "All dates"
msgstr "Tarehe zote"
#, python-format
msgid "Select %s"
msgstr "Chagua %s"
#, python-format
msgid "Select %s to change"
msgstr "Chaguo %s kwa mabadilisho"
msgid "Date:"
msgstr "Tarehe"
msgid "Time:"
msgstr "Saa"
msgid "Lookup"
msgstr "`Lookup`"
msgid "Currently:"
msgstr "Kwa sasa:"
msgid "Change:"
msgstr "Badilisha:"